Saturday, May 27, 2017

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MAY 28, 2017

Magazetini leo Jumapili May 28, 2017
Share:

WANAWAKE WANAOJIFUNGULIA NYUMBANI NA NJIANI WATOZWA FAINI YA SHILINGI 50,000/-

BAADHI ya wanawake wa kata ya Lyangalile wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wamelalamikia kitendo cha kutozwa fedha kiasi cha shilingi 50,000 ikiwa ni adhabu kutokana na kujifungua katika maeneo ambayo siyo salama na hakuna huduma za uzazi salama.
Share:

MTOTO WA MIAKA MIWILI AUAWA KWA KUNYONGWA NA BABA YAKE WA KAMBO

Picha haihusiani na habari hapa chini
Share:

Video: MWANAMKE MWENYE WATOTO 38 UKILINGANISHA NA UMRI WAKE

>>>>BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA ANACHOKIZUNGUMZA HUYU MAMA>>>>>

Share:

Friday, May 26, 2017

WALIO KWENYE NDOA ZA "SOGEA TUISHI" KUPEWA ADHABU KALI SANA

Burundi ni moja ya nchi maskini zaidi duniani na baadhi ya raia wanasema hawawezi kumudu gharama ya sherehe za harusi.

Watu wanaoishi katika mahusiano ya mume na mke bila kufunga ndoa nchini Burundi wameamrishwa kwamba wawe wameoana rasmi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu la sivyo wataaadhibiwa vikali.
Share:

MSICHANA ALIYECHOMWA TINDIKALI ABAHATIKA KUPATA MCHUMBA INDIA

Lalita Ben Bansi akivalia nguo yake ya harusi na mumewe Ravi Shankar 
Share:

MISRI YALIPIZA KISASI MAUAJI YA WAKRISTO 28


Wanajeshi wa Misri wametekeleza mashambulizi ya angani katika taifa jirani la Lybia ambapo wamelenga kambi za mazoezi za wapiganaji wa kijihadi.
Share:

JE, UNAYAFAHAMU MAKABILA 125 YOTE YA TANZANIA? HAYA HAPA


Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanzania, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanzania na nchi za jirani.
Share:

MZEE YUSUPH ATAKA WATU WAFUTE NYIMBO ZAKE KWENYE SIMU ZAO

Aliyekuwa mfalme wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuph amefunguka na kueleza kuwa watu wote walio na nyimbo zake kwenye simu zao wafute na kuacha kusikiliza ili kuepuka dhambi.
Share:

WAFANYAKAZI WA MOCHUARI MWANANYAMALA WAPASUA MAITI NA KUIBA KETE ZA UNGA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amefunguka kuwa wahudumu wa mochwari ya Mwananyamala wameiba jumla ya kete 32 za dawa za kulevya zilizokuwa kwenye mwili wa Raia wa Ghana aliyefariki dunia akiwa katika nyumba ya wageni
Share:

KAGAME ATANGAZA KUACHIA MADARAKA YA URAIS RWANDA...AWATAKA WANYARWANDA KUFIKIRIA MTU SAHIHI ILI KUZIBA NAFASI YAKE

Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Rwanda unaotarajiwa kufanyika Agosti 3 mwaka huu, Rais wa Rwanda Paul Kagame ameeleza kinaga ubaga kuwa ukomo wake wa kutawala ni mwaka 2024.
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 27, 2017

Magazetini leo Jumamosi May 27, 2017
Share:

TAFUTA HABARI HAPA

HABARI KALI MWEZI HUU

HABARI ZILIZOPITA

Copyright © MASENGWA BLOG | Powered by Blogger